Wanaofanya biashara za mitandaoni wasajiriwe ili kuwe na usalama wa fedha

tinno criss

Senior Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
112
Reaction score
56
haiwezekani Nitume Hela Kabla Ya Kupewa Mzingo, Na Mwenye Mzigo Najua Hawezi Kunitumia Bila Ya Kumtumia Hela Kwanza,

Sasa Hapo Nani Aibiwe??? Mi Sina Uhakika Kabisa Na Hizi Biashara Za MITANDAONI,

Bora Watu Wanafanya Hizi Biashara Wangejisajiri Tofauti Na Sisi Watumiaji Wa Kawaida, Yaani Ili ukura Wa Mtu Kwenye Mitandao Uwe Wa Kibiashara, Ilitakiwa Uwe Unasajiriwa Kwa Fedha Nyingi, Ili Waweze Kujisajiri Watu Wenye Nia Na Lengo, pia Iwe Rahisi Watu Hawa Kukamatwa Endapo Wakifanya Uhuni,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…