Pre GE2025 Wanaofanya kampeni ya Rais kuupiga mwingi walau hata wawe wanaveshwa vizuri!

Pre GE2025 Wanaofanya kampeni ya Rais kuupiga mwingi walau hata wawe wanaveshwa vizuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Yani kuweka Sura ya Rais kwenye miili ya VIJANA waliochoka namna hii nayo nikumkosea na kumchoresha Rais.🤣🤣

Unasema Rais anaupiga mwingi halafu wananchi wake ndio wamepauka hivi!

Wangekua wanawapiga misosi na kuwanunulia VIATU na Suruali waendane na sifa anazopewa Rais aisee 🤣 sio kuwavisha fulana tuu!

Screenshot_2024-06-29-11-15-42-291_com.instagram.android-edit.jpg

=====

Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Yani kuweka Sura ya Rais kwenye miili ya VIJANA waliochoka namna hii nayo nikumkosea na kumchoresha Rais🤣🤣

Unasema Rais anaupiga mwingi halafu wananchi wake ndio wamepauka hivi, wangekua wanawapiga misosi na kuwanunulia VIATU na Suruali waendane na sifa anazopewa Rais aisee 🤣 sio kuwavisha flana tuu
We unadhan hao hela ya viatu hawapati? Ni suala la vipaumbele tu
 
Back
Top Bottom