mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Kila nikijaribu kuvuta picha ya aina ya viongozi tulionao hususan kwenye mashirika na taasisi nyeti za nchi napata mashaka makubwa sana kama taifa tutapiga hatua za kimaendeleo ambazo kila mmoja wetu anatamani zifanikiwe kwenye taifa hili.
Je, wafanya vetting hawako vigilant kutambua ya kwamba kuna viongozi hawajielewi na wanachokifanya? Au ndio kusema kulindana kimaslahi?
GENTAMYCINE Mshana Jr na think wengine tank wa humu JF, hamuoni ya kwamba vetting system na wenyewe wafanyiwe vetting? Maana naona hawako serious.