kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Manara alisema wenye akili yanga ni wawili tu ila hata yeye hana akili pia aliy komwe hana akili na wengineo....akili zao kama za kuku wameprint jezi jina la chasambi kisa tu kujifunga ni upuuzi wa hali ya juu wamesahau mechi ya kongo mzize ndio aliyetuangusha hakuna aliyeprint jezi mimi nasema ushabiki wa sasa hivi ni wa kishamba sana mpira umevamiwa na wachunga ng'ombe haswa mashabiki wa yanga ni washamba sana!