Wanaoharibu haki Yetu ya uchaguzi na waibao Kura, nisawa na vibaka je tuwaadhibu kivyetu vyetu?

Wanaoharibu haki Yetu ya uchaguzi na waibao Kura, nisawa na vibaka je tuwaadhibu kivyetu vyetu?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Jambo la Haki ya Kuheshimu Uchaguzi wa Viongozi na Uchaguzi wenyewe Linafanyika ulimwengu wote wa wastaarabu.

Wafanyao hivyo mfano kwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambako Watendaji wa Kata, viongozi kadhaa wa vyama na wagombea wao wanashiriki kuhujumu wananchi wasitumie demokrasia kuchagua viongozi wao, Je hawa na vibaka wana tofauti gani?

Je kama wananchi wanagundua Mtendaji Kata anahusika kuhujumu amepewe adhabu kutakuwa na ubaya gani? Wananchi wenye watakuwa wametimiza wajibu wao au sio?

Mimi nadhani baada ya hapo watendaji/wagombea hawatajihusisha na tabia za kuharibu nia za wananchi kupata kiongozi bora.

Nauliza tuu, au hiyo adhabu haiwastahili hao wanaosababisha tupate viongozi wabovu?
 
Hebo oneni mambo kama haya;
 

Attachments

  • VID-20241030-WA0013.mp4
    12 MB
Watu watavumilia mpaka lini huu ujinga?
 

Attachments

  • VID-20241030-WA0012.mp4
    4.3 MB
Back
Top Bottom