Eneo lina sqm 72000 (ekari 18),lipo katika kijiji cha Oyoyo,kandokando ya barabara ya Mkuranga-kisarawe.Shamba lipo jirani na shamba la Mama Salma Kikwete na linafaa kwa kiwanda,shule,yadi,kilimo cha embe na ufugaji wa kuku n.k.Umeme umeishia shambani kwa Mama Salma.3km from main road.
Bei USD 190000/300 milioni.
0754 856277/0714 381704