Plot4Sale wanaohitaji Beach plots mkoa wa Tanga

Plot4Sale wanaohitaji Beach plots mkoa wa Tanga

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
332
Reaction score
549
Habari wakuu,

Mkoa wa Tanga, wilaya ya mkinga karibu kabisa na barabara kuu ya kwenda Mombasa Kenya kupitia horohoro boder kuna beach plots zinauzwa kwa bei rahisi tu. Viwanja hivi vinafaa kwa makazi, biashara ama huduma yoyote. Barabara inafika mpaka hapo.

Kwa anayehitaji anaweza kunipm kumuunganisha na wahusika, mimi sio muuzaji wala dalali, bali nimetoa taarifa huenda kuna watu wakawa wanahangaika kutafuta hivyo viwanja.

Mimi nimenunua, nimejenga na naishi mwaka wa tano sasa sio mbaya nikipata majirani.

Mchana mwema


download%20(6).jpg
 
Back
Top Bottom