Wanaohitaji makontena futi 40 na futi 20 yapo wahi mapema

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
232
Heshima zenu wa kubwa, kwa wale wote wanaohitaji kununua content kwa shughuli zao karibuni yapo ya futi 40 na futi 20 karibuni sana.
 
Bei ni nzuri na maelewano yapo
 
Bei Nzuri ndio kitu gani hicho...!
 
Bei yake yanaanzia 3milion kwa content la futi20 na 6milion kwa content la futi40 maelewano pia yapo.
 
Mmh nikisikia makontena yanauzwa usawa huu naogopa sana....nisije waita Majaliwa na timu yake wakapiga kambi kwangu
 
Karibuni Wateja bado yapo
 
Karibuni Wateja bado yapo
Salaam Mkuu, container ulizonazo ziko kwenye hali gani? Unaweza ku-upload picha mbili tatu za nje na ndani? Zina full documents?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…