kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
ukihitim utaonekana wa UDSM na chet ndivyo inavyoonesha ila colege itaonekana since udsm ina college nyingHabar zenu wakubwa!
Samahan naomba kuwaulizen, il nipate kufahamu.
iv kwa wanachuo wanao hitimu shahada za elimu {bachelor of education} katka vyuo vishiriki vya UDSM-yaan MUCE na DUCE, Je; nao pia uhesabiwa ni wahitimu wa chuo kikuu cha dar-es-salaam?.
naomba kujua tafadhali.
Habar zenu wakubwa!
Samahan naomba kuwaulizen, il nipate kufahamu.
iv kwa wanachuo wanao hitimu shahada za elimu {bachelor of education} katka vyuo vishiriki vya UDSM-yaan MUCE na DUCE, Je; nao pia uhesabiwa ni wahitimu wa chuo kikuu cha dar-es-salaam?.
naomba kujua tafadhali.
Mkuu utahesabiwa graduate wa UDSM ila kwenye transcript kuna sehemu inaonyesha college/campus hivyo itaandikwa kama ni main campus au Duce au Mkwawa utaiona pale
ina maana ubora unaozungumzwa wa chuo hicho je; ni pamoja na college zake?
Bila shaka ubora ni ule ule kwa sababu taratibu za uendeshaji wa chuo ni zilezile, course zinafanana kwa watu wenye degree program zinazofanana, na lectures wengi hutoka main campus(J.K Nyerere Mlimani campus) kwenda campus zingine kufundisha
Vyeti havina issue kaka , issue kichwani kuna nini
Tena education DUCE wapo nondo kuliko Jk campus....
Ukimaanisha nini?
Ushaelewa.
Vitu vingine una google unapata jibu siyo kujaza server humu. By the way hizo ni college tu kama vilivyo college vingine ndani ya campus ndo maana huwezi kuta kuna V.C wa MUCE/DUCE/COET/COICT but kuna principal ,ambaye yupo under V.C OF UDSM PROF SYMPO MUKANDALA.