Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
uhandisi upi, huo uhandisi unaajira. Sio mtu anatoka na Div one ya 3 form six kesho tunamkuta kwenye kiwanda cha Muhindi analipwa laki nne.Uhandisi........
Vipimoo.....
😂😂😂😂😂😂😂😂😂acha dharau mkuuWalimu wa Math and Physics
I'm very serious.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha dharau mkuu
Mkuu weka wazi ni nini kilichofuata mkuu.I'm very serious.
Kuna jamaa alipiga O'level 1.7 and Advance 1.4
Akatunukiwa gamba lake la Telecom engineering. Asee kinachofata Inasikitisha.. *Naomba niishie hapa.
Kwani kuwa Mwl ni dharau Mkuu?😂😂😂😂😂😂😂😂😂acha dharau mkuu
Nimeona tcu guidebook mpya wanawachukua pia kusoma Unesi!..Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa.
Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania.
Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida.
Mada ni hii hapa mezani.
Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha kwenye kozi gani?
Mmhh acha uwongoo bana,,unesi wa majengo niniNimeona tcu guidebook mpya wanawachukua pia kusoma Unesi!..
Umesoma tcu guidebook au ubishi jadi yakoMmhh acha uwongoo bana,,unesi wa majengo nini
Wewe unaona ajira ni zipi kwanza ?uhandisi upi, huo uhandisi unaajira. Sio mtu anatoka na Div one ya 3 form six kesho tunamkuta kwenye kiwanda cha Muhindi analipwa laki nne.
Na maisha sio u Engineer tu!PCM unaweza soma course yeyote isipokua field za biology
Nchi za wenzetu sio bongoPCM unaweza soma course yeyote isipokua field za biology
[emoji106]Kasome ukipendacho
Achana na maneno ya wahuni waliopo chuo..,
Kutana na mtu aliepo mtaani akushauri...,
In reality hakuna kozi yenye ajira.., hivyo jitahidi kusoma chuo ukipendacho..,hutojutia maishani