Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Upo vizuri mkuu kwenye mpangilio wa uelezeajiNaam!
Cuba ni nchi ambayo kijiografia ni kisiwa kinachopatikana Amerika ya kaskazini na kati yaani North America and Central America (Caribbean).
Cuba mji wake mkuu na mji wenye utajiri ni Havana ambayo inapatikana katika rasi ya Florida.
Nchi ya Cuba inayo miji mikubwa kama Santa Clara, Camaguey, Pinar del Rio, Matanzas, Holguin, Guantanamo, Santiago de Cuba na Ciego de Avila.
Ukiwa Cuba distance chache utaweza kufika Florida, US., The Bahamas., Merida, Mexico,. Jamaica, Haiti au Dominican Republic.
Lugha rasmi na kuu ni Kihispaniora "Spanish", Huku imani ya kidini kuu ni Roman Catholic.
Mfumo wa Kiserikali na nchi hii ya Cuba ni Communist Republic yaani nchi yenye mlengo wa Ujamaa. Masuala ya kuombana chumvi, viberiti na kuchapiana watoto yanaweza yakawa yakawaida.
Cuban Peso 1 ni sawa na Centavos 100.
Kila la kheri, hasa kama wewe ni Mtanzania utapokelewa vizuri kwa vigelele na bashasha.
Shukrani Taslim! 😃
vp gharama za hotel na gharama za vyakula kule!??Naam!

SawaaUkifika usisahau kuleta mrejesho.
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Uwapo Cuba utakuwa umebadilisha mazingira lakini tactically ni sawa na mienendo ya nchi nyingi za kijamaa.vp gharama za hotel na gharama za vyakula kule!??