Ipo kawaida tu,japo siikubali kiviiile kutokana na kuwa haina umeme wa uhakika labda kama wamerekebisha kwa sasa.But kijana,maisha popote,inategemeana tu na juhudi zako.Wapo waliosomea pale na wakatoka fresh tu.
Wengi wametoka na wachache waliofuatilia WATUTSI wamefulia.coz ni eneo ambalo kuna waschana weng wa kitutsi hivyo without determination u end up with zero