kwa kifupi nakupongeza kwa kupata nafasi ya kidato cha tano, ifakara girls ilianzishwa kwa malengo ya kilimo kama ilivyo weruweru, lakini gafula shule imegeuka kuwa pori work shops zote zimekufa na kilichobakia ni mwalimu mkuu msaidizi bwana isaya anatumia mashamba kukodisha afisa usalama wa wilaya, afisa elimu wilaya kilombero ndo wanafaidi mashamba ya pale na baada ya mwalimu mkuu kustaafu takribani mwaka sasa maadili ya watoto yamehuka na masomo pia shule iko chini sana kwani uongozi uliopo una urafiki na maafisa walioorodheshwa hapo juu. ushauri wangu nenda ujitume usome achana na mawasiliano kabisa na mwalimu mlezi wa TYCS ni kicheche ni balaa. so take care ndo walimu wetu wa siku hizi