Naona umeamua kujifariji!
Kichwa cha habari cha uzi wako kina utata, ni kama unajihami vile! Kubali kukosolewa ili uendelee, chuo kinaweza kuwa kimeanza jmwaka juzi kikafanya vizuri kuzidi kile kilichoanzishwa maika 100 iliyopita. Hoja ni kiwango gani IFM inacho leo na wala si miaka iliyopita.
mboni wewe unaonekana kuizodoa maduu ndio unaona ubaya aisee umekuja kuwaje wewe hapa town shule ikiwa ngumu unacheki na maduu kiaina unafikiri muhas hapo au engineering (coet) pale ni town bana totoz ni muhimu kuwepo..
Naona umeamua kujifariji!
inaonekana hakijui ndio maana..
Ifm sio chuo ni taasisi kwa hiyo hamna hoja
Katika vyuo ambavyo nina clear evidence ya wanafunzi kupasishwa kwa rushwa ya hela na ngono ni IFM. Wanafunzi wote ninaofahamiana nao waliopio pale ambao walishakamatwa, wametoa rushwa ya hela na ngono kufanikiwa! Mchumba wangu kalazimishwa na mwalimu wake atoe ngono afaulishwe masomo mawili, akizingua anafelishwa. Akatoa tukaachana. IFM sio chuo kile.

Anaeponda atakuwa bado na utoto aliotoka nao advance. Hebu aende akacheze sasa icho anachokisifia, suala ni kukaza kujielewa tu. Kila chuo kinatoa watu wazuri(academically) mbona.
-huo ndo ukweli na mimi sisomi IFM-
Hapo kwenye RED; ingekuwa ndivyo hivyo basi kusingekuwa na haja ya kozi au vyuo kuwa accredited na mamlaka husika!
kwenda chuo flani ni suala moja, na kuperfom vizuri ni jingine! Turudi kwenye mada... Wanaoiponda IFM ni wendawazimu.
aah wapi mkuu.. Hapana kujifariji.. Ifm bonge la chuo ukienda kufuata elimuNashawishika kukubaliana na mjumbe aliesema habari ya kujifariji!
aah wapi mkuu.. Hapana kujifariji.. Ifm bonge la chuo ukienda kufuata elimu
hahahhahahahaha KARIBU JF.....IFM ina miaka 40 tokea ianzishwe na ilianzishwa na NBC kwa madhumuni ya kuwapata bankers wakushka nafasi mbalimbali ndan ya different institutions Hapa nchin!!! Mpaka sasa chuo kina wahitimu weng walioko BOT.TRA na bank kibao
kwa wale wte mliochaguliwa hapo msiogope majungu ya watu kwan mti mwenye matunda ndio ulengwao mawe
pia ukisoma IFM kupata CPA ni rahis zaid
kwa mabaya sasa IFM kina madada du na masharo kibao lakin hilo c jambo la msing cha muhimu ujitambue tu unayeenda kusoma pale.
Mtu kama wewe ndio wale wanaoenda chuo ukitegema kitakusaidia kila kitu. Kumbuka juhudi zako ndo kila kitu, futa izo ideas kichwani kuwa chuo kitakubeba.Ni bonge la chuo unapoilinganisha IFM na chuo kipi? VETA, TIA, CBE, UDSM, SUA, Mzumbe au Havard?
kwani kitu kikiwa kizuri lazima kwanza ukilinganishe na ki2 kingine? Wake up mkuu.. OverNi bonge la chuo unapoilinganisha IFM na chuo kipi? VETA, TIA, CBE, UDSM, SUA, Mzumbe au Havard?