teh teh hivi manji ni mnachama wa CCM...teh teh nna hamu siku agombee ubunge nione kama anajua kujieleza kwenye mikutano ya kampeni au atakodisha kampuni ya kumpigia kampeni.aka ata outsource1.mkulo
2.Chiligati
3. Manji
Ni mwanachama hai huyo. 2005 aliwania kiti cha ubunge Kigamboni akawashinda vibaya sana wenzake lakini "busara" zikatumika kumwengua ndio akapewa yule wa sasa anaitwa Mwintumu au mwantumu. Hakuna haja ya kujua kujieleza fedha yake itaongea kwa niaba.teh teh hivi manji ni mnachama wa CCM...teh teh nna hamu siku agombee ubunge nione kama anajua kujieleza kwenye mikutano ya kampeni au atakodisha kampuni ya kumpigia kampeni.aka ata outsource
CCM inazidi kupoteza sifa zake kutokana na Viongozi na wanachama wake kutosema ukweli kuhusu ufisadi,ubinafsi na kujilimbikizia mali.
Wanaoipotezea sifa CCM ni hawa tu au kuna wengine?
Angalia Orodha hii na uiongezee:-
1.Yusuph Makamba
2. Kingunge N.Mwiru
3. Tambwe Hiza
4. Edward Lowassa
5. Rostam Aziz
6. Makongoro Mahanga
7. Hendry Chenge
8.
Endelea................................
Ebwana ccm ndo hvyo tena ujue wanapoteza umaarufu na uaminifu,frm my mind i thnk serikali ya mseto inafata katika nchi yetu