Wanaoitumia Serikali Kuhujumu Wafurushwe

Wanaoitumia Serikali Kuhujumu Wafurushwe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana hivi watu kama hawa wanaonyanyasa na kudhulumu watu kwa kutumia mgongo wa serikali katika awamu ya hii wanasubiri nini maofisini?

IMG_20210610_150458_333.jpg


Ni wazi kuwa watu hawa ni wanufaika mno wa hali hizi za wizi wizi walizozowea. Kama walivyo, katu hawawezi kujiondoa wenyewe!

Mama Samia tambua uwepo wa watu hawa wasio kufaa kwa lolote katika uongozi wako:

1. PCCB wote katika maeneo ambako polisi wameruhusu, ni waratibu na wanufaika wa biashara za wizi wa mafuta mabarabarani (Almaarufu wapiga videbe).

2. PCCB wote ambako wamewaacha polisi na LATRA kuruhusu biashara za kubeba abiria bila leseni husika.

Mawili haya yapo bayana kwenye uzi husika kama hivi:


3. Polisi wanaochagua kusumbua watu wasiohusika, badala ya kuchagua busara katika kutanzua kero zao kwenye maeneo yote inapotokea hali kama hivi:


Mama Samia tambua kuwa watendaji hawa kama wale wa luku na wa kushamiri kwa ujambazi, wanalo lao jambo dhidi yako.

Kwamba huwezi?

Wape fundisho hii mitu ya kuwa hii ni awamu ya sita!
 
Hebu soma tena ulichoandika, we jamaa kichwani ni mtupu kabisa.
Jf wangekuwa wanapima watu akili kabla ya kuruhusu watu kujiunga humu
 
Hebu soma tena ulichoandika, we jamaa kichwani ni mtupu kabisa.
Jf wangekuwa wanapima watu akili kabla ya kuruhusu watu kujiunga humu

Vyawa wa mwendazake? Kina Wole? Kina Konda boy? Muyapende mabandiko yetu?

Aaah wapi!

Kama vipi Burundi kupo wazi hamieni huko. Kwa tabia zenu za awamu ile, fahamuni kuwa hamko salama tena na hatutawafumbia macho!

Habari ndiyo hiyo.

Baada ya kukukabidhi vidonge chako nisiache kukukamilishia na dozi kabisa:

"Hebu soma tena ulichoandika, we jamaa kichwani ni mtupu kabisa.
Jf wangekuwa wanapima watu akili na mkojo kabla ya kuruhusu watu kujiunga humu."

Haya ya mwisho yanakuhusu sana!
 
Back
Top Bottom