Wanaoitwa wasanii Tanzania ni kundi lenye mahitaji maalumu?

Wanaoitwa wasanii Tanzania ni kundi lenye mahitaji maalumu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?

 
Huyu kijana ana uelewa Mdogo sana wa mambo, sijui kwanini huwa wanamweka mbele

Bima ni personal
Nani ana uelewa mkubwa katika hiyo tasnia yao wanaeweza kumuweka mbele?
 
Uelewa wa hao the so called wasanii ni mdogo sana
 
Mkuu hao NI kundi maalumu,
NI Vijana wetu. Wanahitaji msaada. Acha serikali iwasaidie.

Wewe ulikuwa unawachukulia Serious?
 
Back
Top Bottom