Wanaoitwa wasanii Tanzania ni kundi lenye mahitaji maalumu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu kijana ana uelewa Mdogo sana wa mambo, sijui kwanini huwa wanamweka mbele

Bima ni personal
Nani ana uelewa mkubwa katika hiyo tasnia yao wanaeweza kumuweka mbele?
 
Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?
View attachment 3039950
Ujakosea tena ni kundi la kuitaji msaada.
Wapo machangudoa na mashoga.
Maskini wa kutupwa zaidi ya kutupwa.
Wasimbe waliokubuhu.
Wasiojitambua
 
Uelewa wa hao the so called wasanii ni mdogo sana
 
Mkuu hao NI kundi maalumu,
NI Vijana wetu. Wanahitaji msaada. Acha serikali iwasaidie.

Wewe ulikuwa unawachukulia Serious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…