Wanaojiajiri wamepungua kwa 3.9% ukilinganisha mwaka 2014 na mwaka 2021

Wanaojiajiri wamepungua kwa 3.9% ukilinganisha mwaka 2014 na mwaka 2021

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Takwimu zilizotolewa na NBS zimeonesha watu wa umri wa miaka 15 na kuendelea wanaojiajiri(tafsiri ya kitaifa) kwa shughuli zisizohusika na kilimo wamepungua kwa 3.9% ukilinganisha mwaka 2021 na mwaka 2014

Waliokua wanafanya shughuli binafsi zisizo za kilimo kwa mwaka 2014 ni 26.6% ya walioajiriwa na mwaka 2021 ni 22.7% ya waliajiriwa

Sekta isiyo rasmi bado imekuwa chanzo kikuu cha ajira za waliowengi, ambapo kwa mwaka 2021 shughuli za kilimo zimeajiri 58.4% ya nguvukazi. Serikali kuu na Serikali za mtaa zimeajiri 2.6% na Taasisi za umma ikiajiri 0.3%


Signed
OEDIPUS
 
Back
Top Bottom