Wanaojiita Wachambuzi wa soka Wengi wao ni wanafiki

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Baadhi ya Wachambuzi wa Mpira wa nchi Hii Wanafiki Sana.

So Kama Haikuwa Penalty Ww unabadilisha Nini?

Mbona yaliyotokea Mkwakwani Hawayazungumzii mpaka Leo Ile Wamekomaa kusema Ile penalty waliyoipata Yanga Haikuwa Penalty halali.

Ujinga Mtupu Kuwa na Mijitu inajiita Michambuzi Kumbe Minafiki Tu [emoji34][emoji34][emoji34]
 
We mkuu hao wachambuzi wa michongo.. yaani wachambuzi wengi wa bongo ni Makolo.

Si hatuna habari nao na Wala hawasaidii Chochote kwenye soka letu zaidi ya kujitafutia ugali wao kwenye hvyo vyombo vya habari.

Ndo maana Karia aliwaambia kuwa wanatakiwa waende shule, mtu Mpira wenyewe hajui then anajifanya mchambuzi shit kabisa
 
Wachambuzi wote iwe ulaya au bongo ni wanafiki...Gary Neville alikuwa anampiga sana spana Mourinho lakini akawa vuguvugu wakati wa Solksjaer...wachambuzi wote wapo too personal kuliko uhalisia
 
Sasa kama kigezo chenyewe kikuu cha kuwa mchambuzi ni kumiliki tu mdomo wa kutolea huo uchambuzi na king'amuzi cha dstv/Azam tv unategemea nini?
 
Hata wakiongea kwa kufuata sheria bado ni wanafiki? wakati mwingine tunatabia ya kuwasema wachambuzi ni wa hovyo bila sababu za msingi.. tuache ushabiki wa kijinga. tufuate sheria zilizopo
 
Baadhi ya Wachambuzi wa Mpira wa nchi Hii Wanafiki Sana.

So Kama Haikuwa Penalty Ww unabadilisha Nini?

Mbona yaliyotokea Mkwakwani Hawayazungumzii mpaka Leo Ile Wamekomaa kusema Ile penalty waliyoipata Yanga Haikuwa Penalty halali.

Ujinga Mtupu Kuwa na Mijitu inajiita Michambuzi Kumbe Minafiki Tu [emoji34][emoji34][emoji34]
Mzee umeniwai yaan ma mimi nilitaka niwe mchambuzi wa mpira.[emoji2][emoji2][emoji2] dah mnabahati sana
Sababu hata mpira wenyewe siujui yaani ningekuwa nabisha saaana arafu najidai tumekubaliana hoja twaenda sawa
Kama hii penart ya yanga ningemwangushia refarii jumba bovu
 
Wako kwenye payroll ya makolo,lile goli la geita lilianzia kwa saidoo kuchezewa rafu lakini hata awazungumzii iko kitu!
Jana nimewacheki kwenye kipindi cha Dakika90 cha Azam TV wamegoma kabisa kuzungumzia faulo aliyochezewa Saido ambayo refa alipeta ndio ikaenda kuzaa goal. Na pia wamegoma kabisa kuongelea ile faulo aliyochezewa mchezaji wa Yanga kabla beki hajaunawa mpira,bila kusahau hawajaongelea kabisa beki wa Geita alivyounawa mpira ndani ya 18 na ule mpira aliopiga Zawadi ukaokelewa ndani ya goal.
 
Sio ile faulo tu wakati mahadhi anatoa pasi yule chikola alishakua off side yote hayo hawayaoni,halafu sasa kama makolo wanaoongoza kulalamika washasahau geita walikataliwa goli lao kwa mkapa refa akidai kapombe aliguswa while akuguswa,mikia na wachambuzi wao mchongo chenga sana
 
Hata mimi nimetazama hicho kipindi. Sikusikia hayo matukio mengine wakiyajadili zaidi ya kudai ile siyo penati na mchambuzi mmoja akiwa bize kurudisha kamasi ndani ya mapua yake
 
Sio ile faulo tu wakati mahadhi anatoa pasi yule chikola alishakua off side yote hayo hawayaoni,halafu sasa kama makolo wanaoongoza kulalamika washasahau geita walikataliwa goli lao kwa mkapa refa akidai kapombe aliguswa while akuguswa,mikia na wachambuzi wao mchongo chenga sana
Hili la offside ya Chokola hawawezi kuliongelea maana ni kubwa sana kwa uwezo wao.
 
Back
Top Bottom