Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mzee umeniwai yaan ma mimi nilitaka niwe mchambuzi wa mpira.[emoji2][emoji2][emoji2] dah mnabahati sanaBaadhi ya Wachambuzi wa Mpira wa nchi Hii Wanafiki Sana.
So Kama Haikuwa Penalty Ww unabadilisha Nini?
Mbona yaliyotokea Mkwakwani Hawayazungumzii mpaka Leo Ile Wamekomaa kusema Ile penalty waliyoipata Yanga Haikuwa Penalty halali.
Ujinga Mtupu Kuwa na Mijitu inajiita Michambuzi Kumbe Minafiki Tu [emoji34][emoji34][emoji34]
Na goli la geita sio goli maana mchezaji wa Yanga alichezewa faulo then refa akawapa advantage geita wakaenda kufungaWachambuzi wako sahihi ile sio penalt
Ile sio foul alipoteza balance tu akaanguka.Na goli la geita sio goli maana mchezaji wa Yanga alichezewa faulo then refa akawapa advantage geita wakaenda kufunga
Jana nimewacheki kwenye kipindi cha Dakika90 cha Azam TV wamegoma kabisa kuzungumzia faulo aliyochezewa Saido ambayo refa alipeta ndio ikaenda kuzaa goal. Na pia wamegoma kabisa kuongelea ile faulo aliyochezewa mchezaji wa Yanga kabla beki hajaunawa mpira,bila kusahau hawajaongelea kabisa beki wa Geita alivyounawa mpira ndani ya 18 na ule mpira aliopiga Zawadi ukaokelewa ndani ya goal.Wako kwenye payroll ya makolo,lile goli la geita lilianzia kwa saidoo kuchezewa rafu lakini hata awazungumzii iko kitu!
Sio ile faulo tu wakati mahadhi anatoa pasi yule chikola alishakua off side yote hayo hawayaoni,halafu sasa kama makolo wanaoongoza kulalamika washasahau geita walikataliwa goli lao kwa mkapa refa akidai kapombe aliguswa while akuguswa,mikia na wachambuzi wao mchongo chenga sanaJana nimewacheki kwenye kipindi cha Dakika90 cha Azam TV wamegoma kabisa kuzungumzia faulo aliyochezewa Saido ambayo refa alipeta ndio ikaenda kuzaa goal. Na pia wamegoma kabisa kuongelea ile faulo aliyochezewa mchezaji wa Yanga kabla beki hajaunawa mpira,bila kusahau hawajaongelea kabisa beki wa Geita alivyounawa mpira ndani ya 18 na ule mpira aliopiga Zawadi ukaokelewa ndani ya goal.
Hata mimi nimetazama hicho kipindi. Sikusikia hayo matukio mengine wakiyajadili zaidi ya kudai ile siyo penati na mchambuzi mmoja akiwa bize kurudisha kamasi ndani ya mapua yakeJana nimewacheki kwenye kipindi cha Dakika90 cha Azam TV wamegoma kabisa kuzungumzia faulo aliyochezewa Saido ambayo refa alipeta ndio ikaenda kuzaa goal. Na pia wamegoma kabisa kuongelea ile faulo aliyochezewa mchezaji wa Yanga kabla beki hajaunawa mpira,bila kusahau hawajaongelea kabisa beki wa Geita alivyounawa mpira ndani ya 18 na ule mpira aliopiga Zawadi ukaokelewa ndani ya goal.
Basi ukubali ile ni penati halali.Ile sio foul alipoteza balance tu akaanguka.
Hili la offside ya Chokola hawawezi kuliongelea maana ni kubwa sana kwa uwezo wao.Sio ile faulo tu wakati mahadhi anatoa pasi yule chikola alishakua off side yote hayo hawayaoni,halafu sasa kama makolo wanaoongoza kulalamika washasahau geita walikataliwa goli lao kwa mkapa refa akidai kapombe aliguswa while akuguswa,mikia na wachambuzi wao mchongo chenga sana
Hahaha Kaangalie Tena.Ile sio foul alipoteza balance tu akaanguka.