Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,282 Reaction score 6,303 Apr 12, 2022 #21 Inashangaza hakuna mchambuzi alieongelea kile kitendo cha agrey kushika mpira kwenye boksi, mechi yetu na azam.
Inashangaza hakuna mchambuzi alieongelea kile kitendo cha agrey kushika mpira kwenye boksi, mechi yetu na azam.
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,613 Reaction score 8,082 Apr 12, 2022 #22 Achana nao mkuu. Mimi nimewachoka. Hasa yupo mchambuzi mmoja yuko Azam Tv,sijui alikuwa refa zamani,sijui alikuwa anachezesha timu za wanawake. Yule mchambuzi manyoya yule. Full upande wa mikia,haoni hata aibu,anajichoresha live
Achana nao mkuu. Mimi nimewachoka. Hasa yupo mchambuzi mmoja yuko Azam Tv,sijui alikuwa refa zamani,sijui alikuwa anachezesha timu za wanawake. Yule mchambuzi manyoya yule. Full upande wa mikia,haoni hata aibu,anajichoresha live