GE2025 Wanaojitokeza kwenye mikutano ya kampeni za CCM wengi wanaonekana kuwa ni wanawake. Hii maana yake nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya kampeni ya CCM kwa ukaribu na most of the time wale wahudhuriaji wanakuwa ni wanawake.

Ukiangalia live zao Youtube wanaoonekana kuhudhuria kwenye mikutno ni wanawake, sauti zinazosikika kushngilia ni za wanawake na hata picha za social media zinazopostiwa na CCM wanaoonekana wengi ni wanawake.

Ni kwamba wanaume hawataki kujitokeza au ndo kusema wanawake wanamuamko zaidi ya men


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…