Habarini wakuu!
Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashirijiš¤£. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke waziš