Wanaojua hili tafadhali

Voli kitoki

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
365
Reaction score
92
naomba nijuzeni wana jf hivi mwisho was kupokea maombi ya uhamisho tamisemi ni tarehe ngapi? barua nimeituma tare he 16 mwezi wa 6 nilituma kwa EMS, na ukichelewa deadline yao wanafanyaje? mtumishi wa masijala ya RAS aliniambia nimechelewa na ndye alinishauri tutume kwa EMS. tafadhali mnaojua nitoeni wasiwasi uhamisho huu unaninyima usingizi. anayejua anifafaulie tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…