mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
50k that should be a guest house! Usijinyime sana mkuu maisha mafupi....
hiyo itakua c hoteli bali nyumba za wageni
Nime-edit mkuu wa BT, help please with affordable price please
Nipe majina chief but ziwe affordable,
Nenda travellor logde kule karibu na msalabani..
Kama ni mapumziko achana na lodge, tayarisha 100k kwa siku kale maisha Malaika
Sijui bajeti yako ngapi,unaweza jaribu MERRYNICE karibu na chuo cha sanaa bmoyo ni ka lodge hivi between Tshs 35,000 na 45,000/= ingawa kuna double M guest house ni kati ya 10,000 hadi 15,000 pia pale pale HUNTERS huwa kuna vyumba japo vichache kati ya 50,000 hadi 70,000.
Kama ni mapumziko achana na lodge, tayarisha 100k kwa siku kale maisha Malaika