Wanaojua sarufi wanisaidie

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
nimekutana na Uzi mmoja kwenye ili jukwaa mleta uzi MAKOLE amenigusa sana nitake kujua alivyo sema
MAKOLE;10773 je wajua ni chuo kimoja tu ambacho kinaanza na article "THE" unapokitaja. nacho ni THE UNIVERSITY OF DODOMA...unafikiri ni kwa nini????[/QUOTE said:
kwa anae fahamu juu ya swala hili kuna ukweli wowote
.....nakaribisha maoni



my regards
 
Last edited by a moderator:
nimekutana na Uzi mmoja kwenye ili jukwaa mleta uzi MAKOLE amenigusa sana nitake kujua alivyo sema


kwa anae fahamu juu ya swala hili kuna ukweli wowote
.....nakaribisha maoni



my regards
Ni kwa sababu hakina matawi mengine zaidi ya hicho kilichopo hapo Dodoma jambo ambalo ni tofauti na vyuo vingine kama vile Mzumbe,UD, SAUT na vinginevyo ambavyo vipo zaidi ya kimoja....Tunapotumia article THE Tunaangalia mambo muhim mawili.
1:Kitu kinachozungunziwa lazima kiwe kimoja tu hakuna kingine kinachofanana nacho au mbadala wake
2:Kitu kinachozungumziwa lazima kiwe tayari kimeshatajwa kabla.Yaani kunajulikana tayari miongoni mwa watu wanaozungumzia juu ya hico kitu mfano " a Lion killed two Goats.The lion was also killed.Nadhani umeona jinsi article THE ilivyotumika kwa ktk utetezi wa sababu namba mbili (2).
Kwa utetezi namba moja (1) Ni rahisi sana kwa maneno mengine naweza kukwambia kwamba THE hutumika kupwekesha kitu kisicho na mfano au mbadala kama nilivyosema hapo awali mfano THE GOD,THE KILIMANJARO MOUNTAIN the same to THE UNIVERSITY OF DODOMA.
Huwezi sema THE UNIVERSITY OF ST AUGUSTINE Kwa sababu vipo vingi kama vile Jordan Morogoro,Main Campus Mwanza, Mtwara, Arusha, Tabora na Bukoba pia. Napotaja chuo hiki napaswa kutumia article "a".
KAMA KUNA SEHEM NIMEKUACHA NIULIZE TENA au kama kuna wataalam zaidi wanaweza ongezea nyama.
 

asante mwalimu nimeelewa ulichokieleza... undo utam wa jf uu...

kawaida bad a ya kufundisha mwalimu utoa maswal VP wewe
 

Nami umenisaidia, nilikuwa nadhani ni kwa ajili ya superiority!
 
NIMEKUKUBALI MAN kwa mm cna cha kuongezea nikiongezea ntadanganya ngoja nikaanzishe mada xkul najua jbu hawatakua nalo zen ntawap jbu unajua watanionaje,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…