Nyie mmetandaza mabomba ya kuingiza mafuta ya matumizi UG wakati sisi tunajenga njia ya kutoa mafuta ghafi toka UG ya kuuza .nje....muda si mrefu tutajua ni nani 'bibi' na ni nani 'Bwana' kati ya Kenya na Tz.Hawa washamba wa kusini wanapenda kushindana nasi lakini huwa tunawazaba makofi hadi wanakaa chini. Uganda imeanza kupokea mafuta kupitia port ya Kisumu. Baada ya mafuta kufika Uganda yanasafirishwa kwa reli hadi Jinga ambapo yanahifadhiwa katika jinja storage terminal. Wadau ile pipeline yenu mliotunyang'anya imeanza kufanya kazi? Hehehe

In preparation for receiving fuel via railway from the Jinja pier, our team (Khaki brown attire) has repaired wagon offloading facilities at the Jinja Storage Terminal (JST).

Managing JST is one of our key downstream activities. pic.twitter.com/aCeidhIw0g
— UNOC (@UNOC_UG) July 13, 2020

1,000,000

That is the fuel (diesel), which has been delivered to Jinja Storage Terminal (JST) via railway.

The fuel-laden wagons were transported from Kisumu Port to Jinja on Lake Victoria and later via rail to JST.

This is expected to improve efficiency of fuel supply. pic.twitter.com/s6aX65Waba
— UNOC (@UNOC_UG) July 15, 2020

Tanga exports fuel to Uganda too! And u'll be stupid to think Uganda will continue to import oil after their refinery is ready!Geza Ulole what do have to say about this development? Pipeline mliotuibia imefikia wapi? Hehe
Hawa washamba wa kusini wanapenda kushindana nasi lakini huwa tunawazaba makofi hadi wanakaa chini. Uganda imeanza kupokea mafuta kupitia port ya Kisumu. Baada ya mafuta kufika Uganda yanasafirishwa kwa reli hadi Jinga ambapo yanahifadhiwa katika jinja storage terminal. Wadau ile pipeline yenu mliotunyang'anya imeanza kufanya kazi? Hehehe
Kwa vile bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga halijaanza kuchimbwa au hata kufanya kazi, hivyo unashauri ndugu zetu wa Uganda wasitafute mafuta kwa sasa kwa njia nyingine?Au unasema kwa vile ipo hiyo njia nyingine kutoka Kenya huo mradi wa bomba usitishwe au unataka kuonesha, kiushabiki zaidi, kuwa Tanzania tumepigwa change la moto?
wanaendeleza vioja vya miradi yao ya kijingakijingaTanga exports fuel to Uganda too! And u'll be stupid to think Uganda will continue to import oil after their refinery is ready!
Wana ufalamanga sana in 3-4 years Uganda will be supplying oil to the region n unless the pipeline considered reverse flow during construction this pipeline to Kisumu is another tembo mweupe!wanaendeleza vioja vya miradi yao ya kijingakijinga
Wana ufalamanga sana in 3-4 years Uganda will be supplying oil to the region n unless the pipeline considered reverse flow during construction this pipeline to Kisumu is another tembo mweupe!
Wana ufalamanga sana in 3-4 years Uganda will be supplying oil to the region n unless the pipeline considered reverse flow during construction this pipeline to Kisumu is another tembo mweupe!
East African Oil Pipeline talks in the offing
The East African Crude Oil Pipeline (EACOP) will be the World’s longest electrically heated crude oil pipeline, starting in Uganda’s Albertine Graben and terminating at Tanga in Tanzania
By
Aziz Mohamed

Jul 20, 2020
Image Courtesy/
The construction of East African Crude Oil Pipeline (EACOP) will soon take shape going by Tanzania’s allocation of a budget to fast track deliberations on four key areas and compensations for the implementation of the project.
Tanzania has set aside about US $430 000 from its 2020/21 budget to finance the said tasks.
Tanzanian minister of energy, Dr Medard Kalemani, recently stated that the priorities at hand before April 2021 will be to complete the host government agreements (HGA), shareholders’ agreement (SHA), land lease agreement (LLA), the port agreement (PA) and the compensation for the affected people whose lands the project will pass through.
Conclusion of the four agreements will lead to arriving at Final Investment Decision (FID) which would set the path for the project development phase. Once FID is undertaken, the construction will start and will take about 3 years to complete.
Dr Kalemani revealed that the construction may start in April, 2021 to which oil production may start in 2024. The environmental impact study has been conducted and communities sensitized.
The Uganda-Tanzania pipeline is a 1,443km crude oil export pipeline that will transport Uganda’s crude oil from Hoima in Uganda to the Chongoleani peninsula near Tanga port in Tanzania and is expected to cost US $3.5 billion.
Upon completion, the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) will be the World’s longest electrically heated crude oil pipeline. Starting in Uganda’s Albertine Graben and terminating at Tanga in Tanzania. Due to the viscous and waxy nature of the crude oil, the pipeline will be heated all through to the final destination.
The pipeline will be concealed underground to minimize on environmental impact. However, some facilities with minimal environmental and social impact will be situated above the ground.
The Marine Export Storage Terminal and the Load-Out Facility will be located north of Tanga port over the Chongoleani peninsula. The crude oil will be stored in the terminal before being shipped out by vessels which will be loaded at a sheltered deep-water site.
The East African Crude Oil Pipeline will create exploration opportunities for the East African region with potential investments.
Total East Africa Midstream B.V. (TEAM B.V.) is currently the custodian of the project.
In May, Tullow and Total E&P Uganda B.V. (Total Uganda) signed a Sale and Purchase Agreement (SPA) in which Tullow agreed to transfer the proposed East African Crude Oil Pipeline (EACOP) System (the Uganda Interests) to Total Uganda for cash consideration of US $575 million plus potential contingent payments after first oil (the Transaction).
The agreement also included the transfer of four other oil blocks in Uganda.
East African Oil Pipeline talks in the offing | Pumps Africa
Nyie mmetandaza mabomba ya kuingiza mafuta ya matumizi UG wakati sisi tunajenga njia ya kutoa mafuta ghafi toka UG ya kuuza .nje....muda si mrefu tutajua ni nani 'bibi' na ni nani 'Bwana' kati ya Kenya na Tz.
Hawa washamba wa kusini wanapenda kushindana nasi lakini huwa tunawazaba makofi hadi wanakaa chini.
Uganda imeanza kupokea mafuta kupitia port ya Kisumu. Baada ya mafuta kufika Uganda yanasafirishwa kwa reli hadi Jinja ambapo yanahifadhiwa katika Jinja Storage Terminal.
Wadau ile pipeline yenu mliotunyang'anya imeanza kufanya kazi? Hehehe