Wanaokosea Kujaza Fomu Za Bodi ya Mkopo

Wanaokosea Kujaza Fomu Za Bodi ya Mkopo

Raby Kilua

Senior Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
128
Reaction score
23
Wakuu nasikia bodi ina utaratbu wa kutoa majina ya watu waliokosea kujaza fomu za mkopo.. Wanaokosea mwisho wao ni nn? au ndo hawapat mkopo kabisa
 
wakitoa inabd kujaza upyaa! Vp yameshatokaaaa tujurishanee
 
bdo hayajatoka.. duuh kuanza kujaza upya ni habar ndefu
 
Back
Top Bottom