Wanaokosea Kujaza Fomu Za Bodi ya Mkopo

Raby Kilua

Senior Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
128
Reaction score
23
Wakuu nasikia bodi ina utaratbu wa kutoa majina ya watu waliokosea kujaza fomu za mkopo.. Wanaokosea mwisho wao ni nn? au ndo hawapat mkopo kabisa
 
wakitoa inabd kujaza upyaa! Vp yameshatokaaaa tujurishanee
 
bdo hayajatoka.. duuh kuanza kujaza upya ni habar ndefu
 
bdo hayajatoka.. duuh kuanza kujaza upya ni habar ndefu

mwenzangu we achaaa tuu! Naomba nisiwepo coz ni dalil ya kukosa mkopoo hyoooo hata kma ukiapply mara ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…