Wanaokuja kwa kasi....Rutashubanyuma, Dena Amsi...wanatisha..

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,253
Reaction score
11,626
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!

Rutashubanyuma
JF Senior Expert Member
Join Date: Fri Sep 2010
Posts: 2,800
Thanks: 1,211
Thanked 970 Times in 374 PostsRep Power
27

Mkuu Ruta ana wastani wa karibia posts 31 kwa siku.....Kweli anatisha!

Dena Amsi
JF Senior Expert Member

Join Date:Tue Aug 2010
Posts: 1,469

Thanks:5
Thanked 201 Times in 164 PostsRep Power 23

Dena ana wastani wa posts 12 kwa siku....si haba ila namwomba akumbuke kutumia kidude cha thanks (blue)!

DC
 
Good analysis Rit. Maj. DC (1947) KAR
 
Retired Maj Gen DC (1947)

HABARI YAKO BANAA SIJAKUONA KWENYE GWARIDE LA UHURU AU HAUTAKI KUKUMBUSHIA ENZI ZAKO
 
Retired Maj Gen DC (1947)

HABARI YAKO BANAA SIJAKUONA KWENYE GWARIDE LA UHURU AU HAUTAKI KUKUMBUSHIA ENZI ZAKO

Samahani mkuu,

DC alishastaafu...Uhuru tuliouona 1961 haupo tena!
 
Yaani DC umenirusha live???

Kwani amekosea kitu?

Hebu basi kaangalie hicho kudude kimeandikwa hivi.."Thanks" ndio tuendelee. Inaonekana macho yako yana allergy na hicho kitufe....!
 
Kwani amekosea kitu?

Hebu basi kaangalie hicho kudude kimeandikwa hivi.."Thanks" ndio tuendelee. Inaonekana macho yako yana allergy na hicho kitufe....!

Wala sikupi thanks ng'oooooooooo
 
Haiwezekani kamwe sitoi thanks kwako umenichana live halafu nikkupe thanks yanini

Najua unabana kidogo ila with time utaachia tu..umesahau kuwa unadeal na Babu DC...yuko ndani ya hii house toka 1947..si mchezo ati!
 
Haiwezekani kamwe sitoi thanks kwako umenichana live halafu nikkupe thanks yanini

For that useful post jamani kwani huoni...hata akikuchana live mpe thanks tu DA ndo 'utamaduni' wa hapa...lol
 
najua unabana kidogo ila with time utaachia tu..umesahau kuwa unadeal na babu dc...yuko ndani ya hii house toka 1947..si mchezo ati!

hapo sasa nimekuelewa umeongea kiutu uzima nadhani ataelewa sasa
 
For that useful post jamani kwani huoni...hata akikuchana live mpe thanks tu DA ndo 'utamaduni' wa hapa...lol

Kesho. Na wewe acha ushabiki nilikupa hesima ukawa wa kwanza kupata thanks yangu halafu unaleta maneno tena? Chair vipi
 
Retired Maj Gen DC (1947)

HABARI YAKO BANAA SIJAKUONA KWENYE GWARIDE LA UHURU AU HAUTAKI KUKUMBUSHIA ENZI ZAKO

Hivi nani wanaoendaga kwenye haya maadhimisho? Kuna alawansi inatolewaga?
(hapa siulizii wale vikosi vya magwaride na viongozi wa chama na serikali)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…