dc hapa mbona hivi vipi tenaaa mbona mtoto analalamika sana umemfanya nini
hapo sasa nimekuelewa umeongea kiutu uzima nadhani ataelewa sasa
TF kulikoni wanionea wivu mtoto wa watu?
DA na TF,
Naomba msisahau..babu anawapenda sana wajukuu zake na wish yake ni kuwaona wana vitu 3 tu...vingine vitakuja baadaye,
FURAHA, AMANI na RAHA.....Kuna anayetamani kingine...Babu atawapatia ila hakuna zaidi ya hayo!
Basi katende kama ulivyoagizwa...sawa kajukuu kazuri DA?
tf kulikoni wanionea wivu mtoto wa watu?
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!
Mkuu Ruta ana wastani wa karibia posts 31 kwa siku.....Kweli anatisha!
Dena ana wastani wa posts 12 kwa siku....si haba ila namwomba akumbuke kutumia kidude cha thanks (blue)!
DC
hivi mwanaume hana wivu eheee???????
Babuee...how am i fairing!??
Na je, wingi wa post ndo ubora wa mtu!?
Kesho. Na wewe acha ushabiki nilikupa hesima ukawa wa kwanza kupata thanks yangu halafu unaleta maneno tena? Chair vipi
Sijasahau.....
Kwani ubora tunataka posts za kula?
Unaweza pia kutusaidia kuanalyse upande huo.
Kuna amani hapo kweli? Babu hapendi kutishiana nyau au umesahau?