Wanaokunywa pombe kiasi wana afya nzuri kuliko wasiokunywa

Wanaokunywa pombe kiasi wana afya nzuri kuliko wasiokunywa

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Pombe inafaida sana kwenye afya ya mtu. Lakini kama kitu kingine chochote, ukizidisha ina madhara sana. Sayansi iligundua zamani kwamba wanaokunywa pombe kiasi wana afya kuliko wasiokunywa.

Jshapedcurve.jpg
 
Subiria majibu utayapata kuanzia age 40 na kuendelea. Pombe ni sumu ila sasa hivi utabisha.
 
Back
Top Bottom