Wanaolawiti watoto wahasiwe

Wanaolawiti watoto wahasiwe

The Lonnie

Member
Joined
Sep 3, 2024
Posts
12
Reaction score
26
Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo kukomesha hii tabia.

Mfano mtu analawiti mtoto wa miezi sita! Duh hii mbaya sana serikali ifanye jambo watu waivo wahasiwe kama vipi mbwai mbwai tu.

Pia soma
- Marekani: Ukilawiti watoto adhabu yake ni kuhasiwa. Adhabu hii inafaa kwa Tanzania
 
Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo kukomesha hii tabia.

Mfano mtu analawiti mtoto wa miezi sita! Duh hii mbaya sana serikali ifanye jambo watu waivo wahasiwe kama vipi mbwai mbwai tu.
Tatizo hili kwa hakika linakera sana kupita kiasi, lakini shida nyingine ni kwamba baadhi ya Watu wanaotuhumiwa kufanya vitendo viovu Kama hivyo huwa wanasingiziwa tu na mahasimu wao katika Visa vya visasi na kukomoana.
 
Usiamini sana stori za kulawitiana, wengi wanabambikiwa.

Hili la Mtoto wa Dodoma Lina ukakasi mwingi
 
Hapo zamani ilikua ukikaa na baba unajua ulinzi upo hata wakitokea majambazi unajua baba yupo wa kututetea na kutulinda...baba enzi hizo hata vijana kututongoza sisi binti zao ilikua ni ishu kwa sbb ana uchungu wa mwanae...leo baba amegeuka mbwa pori asie na huruma mpk kwa wtt wake wa kuwazaa...anaendekeza tamaa...au anawaza utajiri wa shortcut kwa masharti ya kipuuzi ya kuutweza utu wa mtoto wake..
Hawa wanastahili kuchomwa moto wakiwa uchi...mpk majivu...
 
Back
Top Bottom