The Lonnie
Member
- Sep 3, 2024
- 12
- 26
Tatizo hili kwa hakika linakera sana kupita kiasi, lakini shida nyingine ni kwamba baadhi ya Watu wanaotuhumiwa kufanya vitendo viovu Kama hivyo huwa wanasingiziwa tu na mahasimu wao katika Visa vya visasi na kukomoana.Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo kukomesha hii tabia.
Mfano mtu analawiti mtoto wa miezi sita! Duh hii mbaya sana serikali ifanye jambo watu waivo wahasiwe kama vipi mbwai mbwai tu.