Wanaomiliki mtambo wa sola kwa mkopo hivi asipomaliza mkopo kwa muda aliopangiwa wanachukua mtambo wao?

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
760
Reaction score
823
Habari ndugu zangu kama kichwa kinavojieleza hivi nataka kujua mfano hii mitambo ya sola mfano mobisol, zola na mingne sasa kama umekopeshwa mtambo umeambiwa ulipe ndani ya miaka mitatu sasa usipomaliza wanaweza chukua mtambo wao?
 
Mtambo wa kampuni gani??

Kama ni mobisol wanachukua kilicho chao.
 
Habari ndugu zangu kama kichwa kinavojieleza hivi nataka kujua mfano hii mitambo ya sola mfano mobisol, zola na mingne sasa kama umekopeshwa mtambo umeambiwa ulipe ndani ya miaka mitatu sasa usipomaliza wanaweza chukua mtambo wao?
Wanakupa wa Tanesco
 
Ile ni kama luku tu kama unalipa kwa kila Mwezi basi usipolipa unabaki gizani na ukilipia unapata mwanga mda huo huo kwa hyo kama umekaa mwaka hujalipia basi ulikua gizani mda huo wote na mwisho kabisa wanakuja kuubeba mtambo wao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitambo hii ya mkopo ni kuongeza umaskini tu kwani gharama yake ni kubwa sana.
Jirani yangu alifungiwa mtambo huu kwa mkataba wa miaka 3, alifanikiwa kulipa miaka 2 mfululizo baadae mambo yakakaa vibaya akashindwa kulipa.
Mobisol wakaja kuchukua mtambo wao na kiasi alicholipa ni kikubwa kuliko kiasi kilichobaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu zangu kama kichwa kinavojieleza hivi nataka kujua mfano hii mitambo ya sola mfano mobisol, zola na mingne sasa kama umekopeshwa mtambo umeambiwa ulipe ndani ya miaka mitatu sasa usipomaliza wanaweza chukua mtambo wao?
wanakunyang'anya sio kuchukua, lipa kwa kufata makubaliano.
 
Usipomaliza mtambo hauwaki,ule mtambo ni kama simu unaweka vocha ndio unatumia kwahiyo ikitokea hujamaliza mkopo wako Fahamu tu kuwa utajiweka gizani mwenyewe.
 
Aise nilikua napanga nikope sasa amna nimeahilisha, tena utakuta unawarant ya miaka miwiri aya mkataba ni m3 ukianza kuzingua hawausiki na matengenezo
Mitambo hii ya mkopo ni kuongeza umaskini tu kwani gharama yake ni kubwa sana.
Jirani yangu alifungiwa mtambo huu kwa mkataba wa miaka 3, alifanikiwa kulipa miaka 2 mfululizo baadae mambo yakakaa vibaya akashindwa kulipa.
Mobisol wakaja kuchukua mtambo wao na kiasi alicholipa ni kikubwa kuliko kiasi kilichobaki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima ufuate utaratibu mliokubaliana. Ninachojua vizuri mikataba Hii ni Sawa na mkataba wa Berlin wa upande mmoja.Na hawakupi nafasi ya kufikiria upande wa pili wanakuonyesha faida ya kuumiliki umeme wao. Mwisho wa Siku ni kilio na sikujua Kwa sababu hauna tabia ya kuangalia na kusoma kilichoandikwa kwa umakini. Ukweli haya makampuni Mobisol nk ni ya kilaghai Sana Kwa afya ya uchumi wa mtu mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom