IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Wanakupa wa TanescoHabari ndugu zangu kama kichwa kinavojieleza hivi nataka kujua mfano hii mitambo ya sola mfano mobisol, zola na mingne sasa kama umekopeshwa mtambo umeambiwa ulipe ndani ya miaka mitatu sasa usipomaliza wanaweza chukua mtambo wao?
Mmh sina mtambo wa aina hio nilitaka kujua tu mkuu.Lipa deni,shetani tayari alishaanza kukuteka na kukuingizia roho ya kutothamini hisani waliyokufanyia hao watu,wewe unaanza kuuliza mbinu za namna gani hutawalipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapata bwana??Lipa deni,shetani tayari alishaanza kukuteka na kukuingizia roho ya kutothamini hisani waliyokufanyia hao watu,wewe unaanza kuuliza mbinu za namna gani hutawalipa
Sent using Jamii Forums mobile app
wanakunyang'anya sio kuchukua, lipa kwa kufata makubaliano.Habari ndugu zangu kama kichwa kinavojieleza hivi nataka kujua mfano hii mitambo ya sola mfano mobisol, zola na mingne sasa kama umekopeshwa mtambo umeambiwa ulipe ndani ya miaka mitatu sasa usipomaliza wanaweza chukua mtambo wao?
Mitambo hii ya mkopo ni kuongeza umaskini tu kwani gharama yake ni kubwa sana.
Jirani yangu alifungiwa mtambo huu kwa mkataba wa miaka 3, alifanikiwa kulipa miaka 2 mfululizo baadae mambo yakakaa vibaya akashindwa kulipa.
Mobisol wakaja kuchukua mtambo wao na kiasi alicholipa ni kikubwa kuliko kiasi kilichobaki.
Sent using Jamii Forums mobile app