Watanzania Hao hao waliokuwa Wanawapost Kina Chid Benz...RayC..eti Jamii iwasaidie na Madawa Ya Kulevya Leo hao hao Wanamsupport Suspect wa Madawa ya Kulevya aliyetajwa na Makonda.... Watanzania kwa Unafiki Tunaongoza...
Wanaona Anaonewa Sana utadhani wanajua Hali za Mahabusu na Wafungwa Zipoje...
Acheni Dunia Imfundishe ....Si kisa Nyie ni Mashabiki zake Ndo mtete Watu acheni vyombo vya Usalama vifanye Kazi zake...

Usihukumu usije ukahukumiwa, lamsingi tusubiri uchunguzi. Tatizo watu wengi hufikiri kwa kiwango cha chini sana, hivi tukiachia mbali hoja ya hao wasanii, hivi wauza unga hawajulikani? Mateja wanapata wapi hizo dawa za kulevya?Watanzania Hao hao waliokuwa Wanawapost Kina Chid Benz...RayC..eti Jamii iwasaidie na Madawa Ya Kulevya Leo hao hao Wanamsupport Suspect wa Madawa ya Kulevya aliyetajwa na Makonda.... Watanzania kwa Unafiki Tunaongoza...
Wanaona Anaonewa Sana utadhani wanajua Hali za Mahabusu na Wafungwa Zipoje...
Acheni Dunia Imfundishe ....Si kisa Nyie ni Mashabiki zake Ndo mtete Watu acheni vyombo vya Usalama vifanye Kazi zake...
mi sijaridhika
Mtu kakomaa nywele, kidevu mpaka ukucha....sijui anafikiri yeye ni nani Tanzania hii. Kila kitu anajua yeyeHalafu yule zika Mange ndo anazidi palia makaa na hizo audio anazopost akizani inasaidia kitu
Mtu kakomaa nywele, kidevu mpaka ukucha....sijui anafikiri yeye ni nani Tanzania hii. Kila kitu anajua yeye. Mzungu so bure amesepaHalafu yule zika Mange ndo anazidi palia makaa na hizo audio anazopost akizani inasaidia kitu
Na ana wajinga wenzie huko insta wanasapoti ujinga wake. Anazidi kumuharibia mwenzie tu.Mtu kakomaa nywele, kidevu mpaka ukucha....sijui anafikiri yeye ni nani Tanzania hii. Kila kitu anajua yeye
Watanzania Hao hao waliokuwa Wanawapost Kina Chid Benz...RayC..eti Jamii iwasaidie na Madawa Ya Kulevya Leo hao hao Wanamsupport Suspect wa Madawa ya Kulevya aliyetajwa na Makonda.... Watanzania kwa Unafiki Tunaongoza...
Wanaona Anaonewa Sana utadhani wanajua Hali za Mahabusu na Wafungwa Zipoje...
Acheni Dunia Imfundishe ....Si kisa Nyie ni Mashabiki zake Ndo mtete Watu acheni vyombo vya Usalama vifanye Kazi zake...
Duuh muhimu sana hii imekuwaje mkuuKama wamesikiliza press ya Kamanda Siro na Makonda dakika kadhaa zilizopita washapata jawabu
Duuh muhimu sana hii imekuwaje mkuu