Wanaomtetea Wema Sepetu Naona Wamepungukiwa Akili

Ukijibiwa hilo mkuu usisahau kuniita niseme namimi japo neno.
Hakuna atakayekujibu hili zaidi ya ushabiki maandazi wa kushabikia watu kupelekwa mahakamani kuombewa binding over.
 
Kukutwa na msokoto mmoja wa bangi! Kuvuta bangi unadhan anastahili kisa home kwake umekutwa msokoto mmoja wa bangi? Yaani kulala lock up siku 4 kisa msokoto mmoja wa bangi? Kumuharibia kisa msokoto mmoja wa bangi? Unajua watu wangapi wanavuta bangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…