Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole!
Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa!
Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja!
Angekuwa mtu wa dili wangemalizana nae kipindi cha bandari!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Ifahamike kwamba mambo aliyoongea katika maadhimisho ya sheria mbele ya RAIS wa jamhuri hayakuwa maoni yake binafsi!
Pale alisimama kama Rais wa TLS kuisemea TLS, Pale alisimama kuwakilisha wanasheria na siyo wafuasi wa chama cha upinzani.
Pale alisimama kusemea mahitaji ya TLS kwa mujibu wa katiba ya TLS!
Watu wengi wanazani TLS ni kama chama cha upinzani!
Ndani ya TLS kuna watu wasio na chama, kuna wadau binafsi, kuna wanachama wa CCM, CUF,CHADEMA,NLD,TLP, CHAUMA,PPT MAENDELEO NA ACT
Wote hawa msemaji wao mkuu ni Rais wa TLS, hivyo siyo kila wakati ATAONGEA KAMA MWANAHARAKATI HAPANA!
Yapo mazingira ambayo Mwabukusi huwa anasimama kama RAIS wa TLS, yapo mazingira atasimama kama wakili, yapo mazingira atasimama kama Mzalendo mpigania Haki kwa mujibu wa sheria!
Maadhimisho ya sheria yalihitaji maombi kama alivyowathilisha! Na maoni yenu msiyafanye kuwa ni utaratibu wa TLS.
UPO MUDA WAKE na mahala pake ambako atasimama kama mwanaharakati ambapo atawasemea kina Dr. Slaa kesi zao kupigwa karenda!
Upo muda wake kusimama kuomba taarifa ya uchunguzi wa mzee Ally Kibao, upo muda wake wa kuomba tume huru ya uchaguzi, upo muda wake wa kusema maoni yenu yote!
Lakini kwa alichokisema jana alikuwa sahihi kwa wanachama waliomchagua huko TLS.
TUSIWE wepesi kumnyooshea kidole bali tumtie moyo huyu jamaa ni mzalendo wa kweli!
Mwabukusi ni Mwamba kwelikweli ambao wanazani anaweza kulamba asali Tuwaelimishe ili wasichanganye wakizani kuwa yule ni Mwenyekiti wa chama cha upinzani!
Pia soma > Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali