Fanya utafiti, usiongee tu! Test your hypotheses hapo juu. Simple: Muulize mama yako mzazi/dada yako/shangazi na BABA YAKO MAZI/kaka yako/mjomba wako kuwa Gadna amemwambia hivi mtalaka wake, Je ni sawa? Then rudi hapa utupe matokeo ya data uliyokusanya ukilinganisha na hypothesesWanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Kwani amemwambia nini cha ajabu? mbona Jay Dee miaka yote anamrushia mipasho Gadner kupitia nyimbo na hamjawahi kusema? Binadamu tuna kawaida ya kunyamaza mwanaume 'akionewa' na mwanamke, lakini ni wepesi wa kushambulia tunapohisi mwanamke anaonewa na mwanaume, kama inavyoonekana kwenye video hii.ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
Angalia post namba 6 kuna maswali nimemuulizaivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
tusiunge mkono alichokifanya gadner.
Ila udhalilishaji umetokea pande zote gadner amedhalilishwa na jide amedhalilishwa pia.
Udhalilishaji upo na wengi tunafanya.Mara ngapi tumewashika wanawake sehem zisizo sahihi bila ridhaa yao au wao pia kutuambia maneno ya kutudhalilisha na kutushika sehem zisizo stahili bila ridhaa yetu.
Tunaweza kuacha unafiki na kuweka mfano kwa kupunguza kudhalilishana hapa hapa JF.
Lakini sana sana mwisho wa siku hio ni their private life kuingilia sisi sana haituhusu hatujui kinachoendelea nyuma ya speaker baina ya watu hawa.
Ndio zao kigwangala naye kadandia treni kwa mbele... waziri wa afya na sanaa wapi na wapi?Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Hii ni isolated incidenceKwani amemwambia nini cha ajabu? mbona Jay Dee miaka yote anamrushia mipasho Gadner kupitia nyimbo na hamjawahi kusema? Binadamu tuna kawaida ya kunyamaza mwanaume 'akionewa' na mwanamke, lakini ni wepesi wa kushambulia tunapohisi mwanamke anaonewa na mwanaume, kama inavyoonekana kwenye video hii.
Ni mzaziNdio zao kigwangala naye kadandia treni kwa mbele... waziri wa afya na sanaa wapi na wapi?
Think of this if it were your father telling your mother, would you be happy?Mbona gadna hajamtaja mtu jina....mbona bi Dada alikuwa anaongea gadna alikaa kimya tu.....je kwan ajakojozwa...na mwanamke gan asiyependa kukojozwa? Si mnapigaga kelele...oooh wanaume hawatukojoz sasa mwenzine anakojozwa mnalia au wivu wa Dada?