M moesy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2012 Posts 3,555 Reaction score 3,539 Jul 9, 2020 Thread starter #81 Tunayo safari ndefu sana katika sekta ya afya.
M moesy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2012 Posts 3,555 Reaction score 3,539 Jul 9, 2020 Thread starter #82 Mjamaa1 said: NHIF ni jipu zito, kuwa na bima ni kama mzigo, ukienda hosp ni kusumbuliwa tu, oh sijui mtandao haupo sijui nn Click to expand... Iyo imenikuta juzi kwenye mojawapo ya hospitali zetu.
Mjamaa1 said: NHIF ni jipu zito, kuwa na bima ni kama mzigo, ukienda hosp ni kusumbuliwa tu, oh sijui mtandao haupo sijui nn Click to expand... Iyo imenikuta juzi kwenye mojawapo ya hospitali zetu.
M moesy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2012 Posts 3,555 Reaction score 3,539 Jul 9, 2020 Thread starter #83 Mjamaa1 said: NHIF ni jipu zito, kuwa na bima ni kama mzigo, ukienda hosp ni kusumbuliwa tu, oh sijui mtandao haupo sijui nn Click to expand... Yaani kushughulikia kadi ya mteja mmoja wa NHIF inachukua zaidi ya dakika 20, na mtandao ukigoma ndiyo basi tena.
Mjamaa1 said: NHIF ni jipu zito, kuwa na bima ni kama mzigo, ukienda hosp ni kusumbuliwa tu, oh sijui mtandao haupo sijui nn Click to expand... Yaani kushughulikia kadi ya mteja mmoja wa NHIF inachukua zaidi ya dakika 20, na mtandao ukigoma ndiyo basi tena.