Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIKUU naona watu wanaitumia ila sijui kama ipo kwenye kundi la website au APPS. ngojea wengine wajibu ili upate taarifa zaidiNaomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani?
Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo website.
Asante.
Hizi hizi line zetu, Cha muhimu ni kuziflash hasa kubadili properties za simcard