azzle18 Member Joined Jan 12, 2019 Posts 8 Reaction score 2 Nov 15, 2019 #1 Naomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani? Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo website. Asante.
Naomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani? Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo website. Asante.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 15, 2019 #2 Hizi hizi line zetu, Cha muhimu ni kuziflash hasa kubadili properties za simcard
Actions Speak Louder Senior Member Joined Nov 12, 2019 Posts 103 Reaction score 73 Nov 15, 2019 #3 azzle18 said: Naomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani? Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo website. Asante. Click to expand... KIKUU naona watu wanaitumia ila sijui kama ipo kwenye kundi la website au APPS. ngojea wengine wajibu ili upate taarifa zaidi
azzle18 said: Naomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani? Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo website. Asante. Click to expand... KIKUU naona watu wanaitumia ila sijui kama ipo kwenye kundi la website au APPS. ngojea wengine wajibu ili upate taarifa zaidi
K Kapena JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 376 Reaction score 507 Nov 16, 2019 #4 DeepPond said: Hizi hizi line zetu, Cha muhimu ni kuziflash hasa kubadili properties za simcard Click to expand... Umekurupuka. Soma vizuri uzi wa mdau. Anaulizia issues za Aliexpress, Amazon, EBay, Kikuu, Joomla nakadhalika. Acha ushamba.
DeepPond said: Hizi hizi line zetu, Cha muhimu ni kuziflash hasa kubadili properties za simcard Click to expand... Umekurupuka. Soma vizuri uzi wa mdau. Anaulizia issues za Aliexpress, Amazon, EBay, Kikuu, Joomla nakadhalika. Acha ushamba.