Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kwahiyo mkuu hapo ulipo hata Nywele za VUTU unyoi. Utaenda kinyume na aliyekupa. Haya tumekuelewaHeri ya mwaka mpya 2017.
Nimekuwa najiuliza sana kwanini wanaume wengi hupenda kunyoa ndevu zote kidevuni?
Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya kuota,huwa sitaki kabisa kunyoa zote maana naona nitakuwa naenda kinyume na aliyenipa ndevu kwa umri husika na kuamini kuwa nitazitunza kwa kuzikata kiasi na kuacha ndevu kama pambo la kidevu.
Nimekuwa nashangaa mwanaume kunyoa ndevu zote mara chache huhisi labda sheria za kazi zao au labda walipenda wazaliwe wanawake,kwa ufupi huwa nakosa majibu.
Mwenye majibu,naomba anisaidie.
Nimesema huwa nanyoa kwa kiasi ila huwa sinyoi zote.Kwahiyo mkuu hapo ulipo hata Nywele za VUTU unyoi. Utaenda kinyume na aliyekupa. Haya tumekuelewa
Ukipatacho kwa kukihangaikia au bila kutarajia lazima ukishobokee. Sisi ambao ndevu ni jadi yetu hatuzishobokei kihivyo..Heri ya mwaka mpya 2017.
Nimekuwa najiuliza sana kwanini wanaume wengi hupenda kunyoa ndevu zote kidevuni?
Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya kuota,huwa sitaki kabisa kunyoa zote maana naona nitakuwa naenda kinyume na aliyenipa ndevu kwa umri husika na kuamini kuwa nitazitunza kwa kuzikata kiasi na kuacha ndevu kama pambo la kidevu.
Nimekuwa nashangaa mwanaume kunyoa ndevu zote mara chache huhisi labda sheria za kazi zao au labda walipenda wazaliwe wanawake,kwa ufupi huwa nakosa majibu.
Mwenye majibu,naomba anisaidie.
Ndevu jadi yako,ina maana umezaliwa na kuota ndevu? Au ulizaliwa na ndevu? Kama vile ulivyozaliwa na ma...lio?Ukipatacho kwa kukihangaikia au bila kutarajia lazima ukishobokee. Sisi ambao ndevu ni jadi yetu hatuzishobokei kihivyo..
Heri ya mwaka mpya 2017.
Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya kuota,huwa sitaki kabisa kunyoa zote maana naona nitakuwa naenda kinyume na aliyenipa ndevu kwa umri husika na kuamini kuwa nitazitunza kwa kuzikata kiasi na kuacha ndevu kama pambo la kidevu.
Mwenye majibu,naomba anisaidie.
Imani zakuokota ndevu na mungu wapi na wapi!!Uislam umetaka muislam wa kiume aache ndevu!akifanya hivyo hiyo itakuwa ni ktk amali njema na Allah atamlipa ujira juu ya Ibada hiyo!wito waislam wa kiume tusinyoe ndevu ili tutekeleze ibada hii!
Wanajeshi je mbona wanatoa zoteHahaaaa,,, nasikia wanaonyoa kidevu chote ni mabwabwa, mwanaume mzima una ndevu unanyoa zote ili iweje🙁
Wanajeshi je mbona wanatoa zote
Kwa maaskari huku ni sheria sasa sijui tufanyejeHeri ya mwaka mpya 2017.
Nimekuwa najiuliza sana kwanini wanaume wengi hupenda kunyoa ndevu zote kidevuni?
Binafsi nilipokuwa mdogo nilisubiri muda mrefu ili niote ndevu,na mara baada ya kuota,huwa sitaki kabisa kunyoa zote maana naona nitakuwa naenda kinyume na aliyenipa ndevu kwa umri husika na kuamini kuwa nitazitunza kwa kuzikata kiasi na kuacha ndevu kama pambo la kidevu.
Nimekuwa nashangaa mwanaume kunyoa ndevu zote mara chache huhisi labda sheria za kazi zao au labda walipenda wazaliwe wanawake,kwa ufupi huwa nakosa majibu.
Mwenye majibu,naomba anisaidie.
True and will remain ever true. Unafuga ndevu na mbuzi afanyeje? Mvxxz....hhNdevu ni uchafu.