TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Watu wengi wanaanzisha biashara pasipo kuwa na taarifa kamili kuhusu biashara husika, soko, ushindani,na malengo thabiti ya kuanzisha biashara hiyo.
Wengi hawafanyi uoembuzi wanaamua kufanya kwa sababu wameona fulani anafanya na anauza,naye anaamua kuanza biashara ileile mbaya zaidi eneo la jirani na biashara aliyoioana bila kujiuliza kwa nini anauza?
Wengi hudhania kwamba wataanza na kufanya mauzo makubwa kitu kinachopelekea kukwama ktk kipindi cha jua la utosi.
Biashara ni Elimu,mbinu,utafiti,upembuzi,uvumilivu na maarifa,biashara huchukua miaka 5-10 (kwa kuzingatia ukubwa) ili iwe matured.
Ndio maana wengi hufungua biashara baada ya muda mfupi hushitukia wamefunga