TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Ukiwa na mpango wako wa biashara, (andiko la biashara), lakini huna sifa hata moja ya ujasiriamali huwezi kufanya biashara yoyote ile, (personal entrepreneurial competences), well defined as traitsWatu wengi wanaanzisha biashara pasipo kuwa na taarifa kamili kuhusu biashara husika, soko, ushindani,na malengo thabiti ya kuanzisha biashara hiyo.
Wengi hawafanyi uoembuzi wanaamua kufanya kwa sababu wameona fulani anafanya na anauza,naye anaamua kuanza biashara ileile mbaya zaidi eneo la jirani na biashara aliyoioana bila kujiuliza kwa nini anauza?
Wengi hudhania kwamba wataanza na kufanya mauzo makubwa kitu kinachopelekea kukwama ktk kipindi cha jua la utosi.
Biashara ni Elimu,mbinu,utafiti,upembuzi,uvumilivu na maarifa,biashara huchukua miaka 5-10 (kwa kuzingatia ukubwa) ili iwe matured.
Ndio maana wengi hufungua biashara baada ya muda mfupi hushitukia wamefunga
Wengi hawana hiyo,hufanya kwa kutamani ama kwa sababu anamtajiUkiwa na mpango wako wa biashara, (andiko la biashara), lakini huna sifa hata moja ya ujasiriamali huwezi kufanya biashara yoyote ile, (personal entrepreneurial competences), well defined as traits
Andiko la biashara hutokana na utafiti wa wazo lako la biashara na ushindani uliopo pamoja na wateja, (competitive analysis), wateja waliopo na wateja tarajiwa, aina ya washindani wako nguvu zao na mapungufu yao ukijilinganisha nao
Tena wenye mtaji wanajiamini na wanapenda wajulikane kama ni mabosi kumbe wateja wanahitaji huduma nzuri ama bidhaa nzuri na siyo uboss wakoWengi hawana hiyo,hufanya kwa kutamani ama kwa sababu anamtaji
Swadakta,”WANAPENDA KUMILIKI BIASHARA LAKINI HAWAFANYI BIASHARA”Tena wenye mtaji wanajiamini na wanapenda wajulikane kama ni mabosi kumbe wateja wanahitaji huduma nzuri ama bidhaa nzuri na siyo uboss wako
I did researches,I own three different business and i don’t just own business but I DOPoint zote zilizotajwa ndio zilizosababisha wasomi wengi kutokuwa na biashara 😆 😄,
Analysis, competitors, failure factor, research, soko, share holders na ujinga mwingine wa kufanana na huo.
The best teacher who will teach you the game is Mr game full stop. Endeleeni na research and nyokonyoko mtabak hapo hapo, Excute and go on mazuri yapo mbele.
Wanashindwa kulipa wanaumwa pressureAlafu wana chukua mikopo
Naendana na wewe.Point zote zilizotajwa ndio zilizosababisha wasomi wengi kutokuwa na biashara 😆 😄,
Analysis, competitors, failure factor, research, soko, share holders na ujinga mwingine wa kufanana na huo.
The best teacher who will teach you the game is Mr game full stop. Endeleeni na research and nyokonyoko mtabak hapo hapo, Excute and go on mazuri yapo mbele.
Tatizo moja la wasomi wa kiafrika wengi wao hawajui kwanini walisoma hicho walicho soma,pili wengi wao husoma kwa sababu moja kuu ambayo ni Ajira tegemezi,game ni muhimu kuifahamu lakini Elimu ni muhimu zaidi ktk kuhimili na kumiliki game husika kwa possession sahihi.Naendana na wewe.
Kifupi nina Diploma, Degree na Masters ya Economics, Finance, and Invenstment.
Nikiwa chuoni miaka yote 2 +3 + 2 nilifundishwa vitu vingii vya biashara ila SIJAWAHI KUKITUMIA HATA KIMOJA.
Nina biashara tatu ila biashara mbili nililetewa idea na masela wa darasa la saba baada ya kuona nasonga na biashara ya kwanza.
Ukitumia sanaa shule UNAFELI.
Field yenyewe ndio itakupa SWOT, PASTEL, BUSINESS PLAN na kila kitu kiufasaha.
Yaani wewe ingia kwenye game halafu kila kitu utajifunzia humo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA