Wanaoomba mafanikio kwa 'Feemasonry' wanajimbiwa kiurahisi sana?

Wanaoomba mafanikio kwa 'Feemasonry' wanajimbiwa kiurahisi sana?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
1,639
Reaction score
519
Kumekuwa na mazungumzo ya kuhusu hawa wajenzi huru (Free mason) ikihusishwa na mafanikio makubwa ya kimaisha. Najua kila mtu anashughulika kila siku ili kupata mafanikio katika maisha yake. Pia tunashirikisha imani zetu kuomba msaada zaidi katika maisha yetu na shughuli za kila siku.Lengo kuu ni kutafuta mafanikio ambayo huwa hatuyapatii mpaka (tunahitaji yawe makubwa sana ila tu uwezo ndo unaotukwaza). Sasa je, wanshughulika na kuomba kupitia imani ya freemason wanasikilzwa sana na yule wanayemuomba kuliko wengine? Kwani ndio wanaoosemwa kuwa wanamafanikio makubwa katika shughuli zao za kila siku.

Nawakilisha wanaJF.
 
Back
Top Bottom