October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Leo asubuhi sana kuna jamaa nilienda mpelekea bidhaa maeneo ya Posta nikamkuta ana ndinga kali anaoshewa na jamaa ni wale ambao wanaoshaosha magari town, nilivyopewa changu nikaona nimuulizie jamaa kuhusu ile mishe inakuwaje jamaa akaniambia kwa siku mbaya kabisa eti anakunja 20,000/= per day kama upo vizuri na kujiongeza kupiga mapolish siku mbaya ukosi 30,000/=.
Nawaza huo mpunga mrefu sana iyo ni 600K - 900K kwa mwezi nawaza nikaonane na Mwenyekiti wa Magogoni ila Posta kupo popularity sana dooh maisha haya.
Inahitaji kujikana.
Sent using Jamii Forums mobile app