October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Oposite na kituo cha kivulini(mlimani city) kuna sheli kadhaa naona wanafunga zaidi ya hiyo maana magari mengiHata Mwenge au Mlimani City ukipata eneo, hata kama ni 10,000-15,000 kwa siku si haba.
Pale wanafika 300,000/=Oposite na kituo cha kivulini(mlimani city) kuna sheli kadhaa naona wanafunga zaidi ya hiyo maana magari mengi
Sent using Jamii Forums mobile app